Darassa amevunja Rekodi hii kwenye Muziki

Mwaka 2016 unazidi kumtendea haki rapper #Darassa upande wa muziki wake kwani amekua akitoa hit baada ya hit huku akipata shangwe la kutosha kutoka kwa mashabiki.

darassa


#Darassa amevunja rekodi ya kuwa msanii wa pili wa Hip-Hop Tanzania ambaye video yake ya #Muziki aliyomshirikisha #BenPolimetazamwa na zaidi ya watu milioni moja ndani ya wiki mbili kwenye mtandao wa YouTube huku rekodi hiyo ikishikiliwa na #A.Ykupitia video yake ya Zigo remix aliyomshirikisha #DiamonPlatnumziliyofikisha zaidi ya watazamaji milioni moja ndani ya wiki moja.