Mrembo huyu Toka Kenya atasindikiza Show ya Diamond

Habari za #KunyapiaNyapia zinaeleza kwamba Mtoto @huddahthebosschick kutoka Kenya atakuja siku hiyo kumsindikiza #ChibudiChibudee na vijana wake wa #WCB.

Mrembo Huddah


Kama hujui huyo Mtoto Huddah ni homa ya Dunia,,, Maparisi (Ufaransa ) , Miami ,huko, majiji mengine ya Bata wanamtafuta huyo mtoto kwenye 'Party' zao.

Sasa masela eeeh, ibuka #JangwaniSeaBreeze, J1 hii tukaogelee #Mubashara kabisa na Mtoto Huddah wakati #SimbaMondi @diamondplatnumz na #WCB yote wanatupigia ngoma zote kuanzia #Kamuambie hadi #Kokoro.