NDESAMBURO ARUDI KATIKA SIASA

NDESAMBURO ARUDI KATIKA SIASA
Mbunge Wa Zamani Wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo Ni Miongoni Mwa Makada Wawili Wa Chadema Waliojitokeza Kuwania Uenyekiti Wa Chama Hicho Kanda Ya Kaskazini.

Katika Uchaguzi Huo Utakaofanyika Kesho Jijini Tanga, Ndesamburo Atachuana Na Daniel Parokwa.

Nafasi Ya Makamu Mwenyekiti Inawaniwa Na Wabunge Wawili Wa Viti Maalum, Cecilia Pareso Na Anna Gideria.