BongeLa Nyau Afunguka kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na #Shilole

BongeLa Nyau Afunguka kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na #Shilole japo watu wamekuwa wakiwaona karibu kiasi cha kuzusha kwamba wawili hao ni wapenzi.

#BongelaNyau👉 “kwa sasa nina mpenzi wangu ambaye tumejaliwa kupata mtoto mmoja hivyo watu wanaposema mimi na Shilole tuko karibu sana ni kutokana na kutuona pamoja kwenye picha lakini mimi na Shilole tunaendana tu ndiyo sababu watu wamekuwa wakihisi kwamba ni wapenzi”amezungumza hayo kupitia ENews eatv .