Dawa inayotolewa kwa njiya ya sindano imetajwa kama mafanikio makubwa ya njiya ya mpango wa uzazi miongoni mwa wanaume.Watafiti kutoka Mare...
Read More
Home » Archive for October 2016
SABABU ya Mourinho baada ya kuondolewa katika eneo analokaa na kuelekezwa katika eneo la mashabiki
Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho alifurushwa hadi eneo linalokaa mashabiki wikendi iliopita wakati wa kipindi cha mapumziko k...
Read More
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameshiriki na wakazi katika shughuli za kila siku
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekuwa akizuru maeneo ya mashambani na kushiriki na wakazi katika shughuli za kila siku, chini ya anachosema...
Read More
Wema Sepetu amempa Pongezi Dogo Aslay wa Yamoto Band
Wema ameonyesha kudata na sehemu ambayo ameimba Dogo Aslay na kuandika ujumbe huu Insta Mbona napiga simu hupokei, na ukipokea huongei... N...
Read More
Francis Cheka katoa Ujumbe huu baada ya taarifa za kifo cha Thomas Mashali
Wiki hii imeanza kwa huzuni kwa mashabiki wa mchezo wa ngumi nchini baada ya kifo cha bondia Thomas Mashali hasa baada ya kusikia taarifa za...
Read More
MPANGO WA MCHUNGAJI LWAKATARE NA MREMA KUWALIPIA FAINI WAFUNGWA WAZUIWA NA SERIKALI
Serikali imesitisha shughuli iliyokuwa ikiendeshwa na Mchungaji Getrude Lwakatare ya kuwalipia faini wafungwa walioko magerezani hadi hapo ...
Read More
WEMA AKAMATWA NA POLISI CHINA AKIHISIWA NA MADAWA YA KULEVYA
Mkali wa Bongo movie Wema Sepetu wiki liyopita aliwekwa chini ya ulinzi kwa saa kadhaa huko chini baada ya kufananishwa na mwanamke raia wa...
Read More
CRDB bank imepata hasara ya Sh Billion 2 katika hesabu zake za robo mwaka
Bank kubwa Tanzania CRDB bank imepata hasara ya Sh Billion 2 katika hesabu zake za robo mwaka (Quarterly Financial Statements) Suala ...
Read More
RAIS MAGUFULI: KENYA NI MSHIRIKA WETU MKUBWA AFRIKA
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kuwa Kenya ndio mshirika nambari moja wa Tanzania katika uwekezaji na biashara barani Afrika. ...
Read More
MAMBO MATANO ATAKAYOYAFANYA RAIS MAGUFULI AKIWA KENYA
Wakati wa ziara yake ya siku mbili Kenya Rais Magufuli, kwa mujibu wa ikulu ya Tanzania, anatarajiwa: Atafanya mazungumzo rasmi na mwenyeji...
Read More
Darassa: Adai Kuja na Collabo na Christian Bella
Rapper Darassa amefunguka kuwa muda si mrefu atakuja na collabo yake na Christian Bella. Akiongea na kipindi cha Clouds Top 20 cha Cl...
Read More
SABABU ZA KUTUMBULIWA KWA MKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI (DCI)
Rais John Pombe Magufuli wikiendi iliyopita, ametoa uamuzi wa kumtungua Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Kamanda Diwani At...
Read More
SHILOLE KIUNO AFUNGUKA KUHUSU PENZI LA MSANII LINAH
Ni katika mtandao wa Instagram ambako mwanadada Linah aliamua kukata mshipa wa aibu kwa muda na kuamua kuposti picha inayomuonyesha aki...
Read More
RAIS MAGUFULI KUZINDUA BARABARA NAIROBI
Rais wa Tanzania John Magufuli anatarajiwa kuanza ziara yake ya kikazi katika nchi jirani ya Kenya leo ambapo kwenye ziara hiyo ya siku mbi...
Read More
HUYU NDIYE MSHINDI WA MAISHA PLUS EAST AFRIKA 2016
Mkenya, Olive Kiarie pichani juu, ameibuka mshindi na kujinyakulia kitita cha Sh30 milion katika shindano la Maisha Plus East A...
Read More
DR. LICKY ABDALLAH AWATUMBUA JIPU AZAM TV
Mchambuzi wa soka nchini anayeheshimika kwa uchambuzi makini kwenye ngazi zote za kitaifa na kimataifa, akichambua bila upendeleo wal...
Read More
TANZIA: BONDIA THOMAS MASHARI
BONDIA THOMAS MASHARI ameuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo kwa taarifa zaidi ungana NASI Mashali aliyezaliwa kwa jin...
Read More
GARETH BALE AMWAGA WINO KUENDELEA KUKIPIGA REAL MADRID
Real Madrid imemsainisha mkataba mpya winga wake Gareth Bale na kumfanya aendelee kudumu klabuni hapo mpaka 2022. Bale mchezaji w...
Read More
Watu wanne Wanaswa wakiwa na magamba ya Kakakuona ya Bil 1.4
kakakuona WATU wanne wakiwemo raia watatu wa Burundi, wanashikiliwa na Polisi mkoani Morogoro baada ya kukutwa na magamba ya kakaku...
Read More
Ukweli kuhusu umri wa Miss Tanzania 2016 Diana Edward Loy watolewa
Hata hivyo pamoja na ushindi huo, haikuchukua muda akaanza kuubeba mzigo wa umaarufu kwa kusambaa taarifa zinazohusiana na umri wake. Taa...
Read More
Matokeo ya mechi za ligi kuu ya Uingereza
Jumamosi Oktoba - 29 - 2016 ligi kuu ya Uingereza Sunderland 1 Arsenal 4 Man Utd 0 Burnley 0 Middlesbrough 2 Bournemouth 0 ...
Read More
Bondia chipukizi kutoka Tanzania amrambisha sakafu mwenzake wa China
Bondia chipukizi kutoka Tanzania Abdallah Pazi Dulla Mbabe alimrambisha sakafu mwenzake kutoka China Zheng Chengbo katika pigano kali lil...
Read More
Theluji ya Mlima Kilimanjaro hatarini kutoweka
Theluji ya mlima kilimanjaro iko hatarini kutoweka kutokana na kushamiri kwa tatizo la uharibifu wa mazingira ambalo linasababishwa na shug...
Read More
Wanafunzi vyuo vikuu waliopewa mikopo kuhakikiwa tena
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB), imetangaza mpango wa kupitia upya na kusitisha mikopo wanafunzi wote inaodai kuwa wali...
Read More
Hatimaye!!!!!Rais Magufuli kuzuru Kenya kesho jumatatu
Kwa mara ya kwanza Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, atazuru taifa jirani la Kenya hapo kesho Jumatatu. Rais John Pombe Magufuli ...
Read More
Afande Sele amlipua Zitto Kabwe kuhusu tuhuma za Ufisadi wa NSSF
Leo mwanachama wa ACT na mgombea Ubunge wa Morogoro mjini kupitia ACT Ndg Selemani Msindi (Afande Selle) ametoa maoni yake kuhusiana na cham...
Read More
Salamu za Julius Mtatiro kwa Rais JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
HAPPY BIRTHDAY MR. PRESIDENT, JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI! Na. Mtatiro J, Mr. President, Salaam! Natambua kuwa umeongeza umr...
Read More
Subscribe to:
Posts (Atom)