Home » Archive for November 2016
KIPA MGHANA WA SIMBA ATUA
Dar es Salaam. Kipa Daniel Agyei ametua nchi leo saa saba mchana akitokea nchini Ghana kwa ajili ya kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuic...
Read More
MAPENZI MOTO MOTO: Alichokiandika Jokate (KIDOTI) kwenye siku ya kuzaliwa ya Alikiba
Alikiba na Jokate wamekuwa kwenye Mahusiano ambayo hayajawekwa wazi japokuwa mara wanaonekana wakiwa pamoja. Ni kati ya mahusiano ambayo hay...
Read More
Ney wa Mitego asema hajambaka Nisha Bebee, Naye Nisha Atoa ya Rohoni
Ney wa Mitego na Nisha waliwahi kuwa wapenzi miaka na Uhusiano wao ukavunjika. Siku za Hivi karibuni Nisha amekuwa akitoa shutuma kwa mwanau...
Read More
Dangote wafafanua kutozalisha saruji
UZALISHAJI katika kiwanda cha saruji cha Dangote kilichopo Mtwara umesimama kwa muda kutokana na hitilafu za kiufundi zilizojitokeza katika...
Read More
Rais Lungu akataa biashara ya uswahiba bandari
RAIS wa Zambia, Edgar Lungu ameitahadharisha Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) kuwa Wazambia hawabanwi na urafiki uliopo kati ya nchi h...
Read More
SERIKALI YAOKOA BILION 1.3 KWA UNUNUZI WA MAGARI YA UMMA
SERIKALI kupitia Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), imeokoa Sh bilioni 1.3 baada ya wakala huyo kununua kwa pamoja magari 392 k...
Read More
NISHA BEBEE ATOA CHOZI, AKOSA AMANI YA MOYO
Nisha Bebee toka apate Ujauzito kwa Mwanaume ambaye hakuwa tayari kuzaa naye. Amekuwa katika hali ambayo sio nzuri, ni pale alipoamua kuandi...
Read More
KIBAHA: ASKARI AJIUA KWA BAHATI MBAYA
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limezungumzia kifo cha askari wake PC Armand Furaha (33) aliyejipiga risasi kifuani bila kukusudia na kufariki...
Read More
Ujumbe wa Utata wa Rosse Ndauka kwa Mc Pilipili
Ni baada ya Mc Pilipili kushinda Tuzo za INSTA AWARDS zilizofanyika wikendi iliyopita Escape One. Na Mc pilipili kujishindia Tuzo katika Kip...
Read More
Ndege iliyobeba Wachezaji wa Klabu ya Soka Brazil Yaanguka
Ndege iliyobeba watu 81 wakiwemo wachezaji wa klabu ya soka ya Chapecoense kutoka Brazil imeanguka wakati ikikaribia kutua katika mji wa Me...
Read More
Kuitizama Nyimbo Mpya ya Nevykenzo ~Feel Good
Bonyeza hapa kuitizama https://youtu.be/xmp8CjOg8NM
Read More
NIKKI WA PILI : Mashabiki Wabishane kuhusu Muziki na sio nani Namba Moja
Leo katika Kipindi cha Ladha 3600 cha E-Fm mtangazaji Ja birsaleh alikuwa na Mahojiano na Mwamuziki wa Hip hop kutoka Kundi la Weusi. Moja y...
Read More
Mbunge wa Ukonga Mh. Mwita Waitara akamatwa na kushikiliwa na Polisi
Mh. Waitara amekamatwa muda mfupi uliopita katika eneo la UVIKIUTA alipokuwa amefuatilia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya wananchi wa...
Read More
Some of Tanzania's biggest foreign investors say they could scale back their operations or expansion plans because of tougher demands placed on companies, including higher tax bills, as part of the president's drive to overhaul the economy
At least six companies are rethinking their business and investment plans, according to Reuters interviews with senior executives at a dozen...
Read More
Alikiba amuonyesha Simba wa Kweli
Baada ya alikiba kupost picha akiwa Serengeti na kuonyesha Simba wa kweli na kuweka kicheko. Baadhi ya mashabiki wametafsiri kama ni Kejeli ...
Read More
Majibu ya Tunda baada ya Calisah Kupost picha aliyopiga na Tunda
Siku za hivi karibuni Mapenzi kati ya Tunda na Young yamerudi baada ya Young D kukiri kuwa amebadilika na Kwamba yeye ndiye aliyekuwa na mak...
Read More
MTANZANIA AFUNGUA MGAHAWA SWEDEN NA KUVUNJA REKODI YA DUNIA
Mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania unaomilikiwa na mpishi maarufu duniani, Issa Kapande `Chef Issa', umefunguliwa ...
Read More
Mawaziri wa JPM si waoga, tunamshauri Rais pia
NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Luhaga Mpina amesema mawaziri walioteuliwa na Rais John Magufuli si ...
Read More
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar limewataka wananchi wanaofanya vitendo vya uhalifu kuacha mara moja.
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema wanaofanya vitendo vya uhalifu katika maeneo yao kuacha mara moja kut...
Read More
Chadema yajipanga Kushinda Serikali za Mitaa na Operesheni Kata Funua
Baada ya kuanzisha na hatimaye kukwama kuitekeleza operesheni ya Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta), Chadema imekuja na nyingine it...
Read More
Tiba ugonjwa wa ini bure
BAADA ya gharama za matibabu ya ugonjwa wa homa ya ini (Hepatitis B) kuwa janga linalofanya Watanzania wengi kupoteza maisha yao kutokana n...
Read More
MKUU WA MKOA AWASHIRIKISHA VIONGOZI WA DINI KUKAGUA UJENZI UWANJA WA NDEGE WA SONGWE
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla leo amefunga na viongozi wa dini kukagua ujenzi wa uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Songwe na kupata ma...
Read More
Roundtable on Sustainable Energy to be Held in Dar es Salaam on December 6th,2016
Roundtable on mobilizing investment and innovation for sustainable energy in Africa will be held in Dar es Salaam, Tanzania on December 6th,...
Read More
MORORO: Mwonekano wa Hamisa Mobetto katika Tuzo za INSTA AWARDS
Hamissa Mobetto Jumamosi alisha Tuzo ya Best Modal katika Tuzo zilizotolewa kwa Watmuaji wa Mtandao wa Instagram. Na kuvuta hisia kwa Mashab...
Read More
Subscribe to:
Posts (Atom)