NAY WA MITEGO KASEMA HAKUNA MSANII WA KUMFANANISHA NA ALIKIBA KATIKA SUALA LA KUIMBA

NAY WA MITEGO KASEMA HAKUNA MSANII WA KUMFANANISHA NA ALIKIBA KATIKA SUALA LA KUIMBA

#NaywaMitego👉 “Wasanii ni wengi, me mmoja kati ya wasanii ambao nawaelewa sana kwenye suala la uimbaji ni pamoja na Alikiba, Ali...
Read More
KAMATI KUCHUNGUZA KIFO CHA MJAMZITO

KAMATI KUCHUNGUZA KIFO CHA MJAMZITO

Serikali imeazimia kuunda kamati maalumu kuchunguza kifo cha mjamzito, Mkami Mirumbe (39), kinachodaiwa kutokea baada ya kukosa huduma katik...
Read More
TRUMP AFUTA UFADHILI KWA MASHIRIKA YA UTOAJI MIMBA

TRUMP AFUTA UFADHILI KWA MASHIRIKA YA UTOAJI MIMBA

Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini agizo rasmi la rais kupiga marufuku kutolewa kwa pesa za serikali ya Marekani kufadhili mashirika...
Read More
DC AMSWEKA RUMANDE DIWANI

DC AMSWEKA RUMANDE DIWANI

Mkuu wa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, Joseph Chilongani amemweka rumande Diwani wa Bukundi, Joseph Masibuka (Chadema) kwa tuhuma za kubomoa...
Read More
MAJIBU YA MAALIM SEIF KWA JECHA

MAJIBU YA MAALIM SEIF KWA JECHA

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema ameshamalizana na mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim J...
Read More
Kajala Atoa Neno baada ya Kusambaa Video inayomuhusisha Mtoto wake

Kajala Atoa Neno baada ya Kusambaa Video inayomuhusisha Mtoto wake

Baada ya kusambaa Video ambayo inaonyesha Mtoto wa kajala kwenye mazingira tata, na baadhi wakizusha kuwa Kajala anamtafutia mwanae wanaume....
Read More
Rais wa Gambia Yahya Jamme amekataa kuondoka madarakani, kutoa nafasi ya kuapishwa kwa Adam Barrow hata baada ya makasaa aliyopewa na Senegal kumalizika

Rais wa Gambia Yahya Jamme amekataa kuondoka madarakani, kutoa nafasi ya kuapishwa kwa Adam Barrow hata baada ya makasaa aliyopewa na Senegal kumalizika

Rais wa Gambia Yahya Jammeh amesataa kuondoka madarakani kutoa nafasi ya kuapishwa kwa Adama Barrow hata baada ya makataa aliyopewa na Sene...
Read More
PEMBE ZA NDOVU ZAKAMATWA KWA UJANGILI

PEMBE ZA NDOVU ZAKAMATWA KWA UJANGILI

Imeelezwa kuwa pembe za ndovu zilizotokana na ujangili nchini ni 52,522 wakati zile zilizopatikana kutokana na vifo vya asili ni 31,556. Kai...
Read More
KAIMU JAJI MKUU AAHIDI MATUMIZI YA TEHAMA

KAIMU JAJI MKUU AAHIDI MATUMIZI YA TEHAMA

Baada kuapishwa jana na Rais John Magufuli,  Kaimu Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma amesema ataweka mkazo wa matumizi ya mfumo wa Teknolojia...
Read More
MTANZANIA AIBUKA NA MEDANI YA DHAHABU MUMBAI MARATHON

MTANZANIA AIBUKA NA MEDANI YA DHAHABU MUMBAI MARATHON

Mtanzania Alphonce Feilix Simbu jana alifanikiwa kushinda medali ya dhahabu kwenye mashindano makubwa ya riadha ya Mumbai Marathon. Mkimbia...
Read More
MTWARA YASHIKA MKIA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI

MTWARA YASHIKA MKIA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI

Dar es Salaam. Katika matokeo ya kidato cha pili 2016 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Mkoa wa Mtwara umeshika mkia...
Read More
WAFUNGWA 30 WAMEUWAWA BRAZIL WAKATI WA MACHAFUKO

WAFUNGWA 30 WAMEUWAWA BRAZIL WAKATI WA MACHAFUKO

Taarifa za kutisha zimeanza kujitokeza nchini Brazil kutokana na machafuko yaliyotokea usiku kucha katika jela la Alcaçuz baada ya kuibuka k...
Read More
Alikiba kwenye TOUR nyingine Ulaya (Europe)

Alikiba kwenye TOUR nyingine Ulaya (Europe)

Baada ya Alikiba kupost kuhusu TOUR ya Afrika Kusini, TOUR ya USA sasa Alikiba kufanya TOUR nyingine Ulaya (Europe) ambayo ataifanya Julai h...
Read More
KOCHA WA AZAM ATAJA SEHEMU ALIZOISHIKA YANGA

KOCHA WA AZAM ATAJA SEHEMU ALIZOISHIKA YANGA

Yanga wanategemea sana mipira ya pembeni, sasa tulijaribu kuangalia watu wanaowachezesha wale watu wa pembeni, tukawakamata na ukiwakamata Y...
Read More
WAWILI WAUAWA KWA KUCHOMWA MOTO KATIKA JARIBIO LA KUFANYA UHALIFU KATIKA MGODI

WAWILI WAUAWA KWA KUCHOMWA MOTO KATIKA JARIBIO LA KUFANYA UHALIFU KATIKA MGODI

Watu wawili wanaodhaniwa kuwa majambazi wameuawa kisha kuchomwa moto katika kijiji cha Ifumbo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya katika jaribio l...
Read More
NAIBU WAZIRI WA AFYA JINSIA NA WATOTO HAMIS KIGWANGALLA AMUANDIKIA UJUMBE HUU RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE

NAIBU WAZIRI WA AFYA JINSIA NA WATOTO HAMIS KIGWANGALLA AMUANDIKIA UJUMBE HUU RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE

Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Mh. Kigwangala ameandika haya akimkumbuka Rais Mstaafu Kikwete 👇👇👇...
Read More
LORI LA MIZIGO LAINGIA KWENYE BARABARA YA MABASI YA MWENDOKASI

LORI LA MIZIGO LAINGIA KWENYE BARABARA YA MABASI YA MWENDOKASI

Lori la mizigo lililosheheni mahindi limeingia kwenye barabara ya mabasi yaendayo haraka lilipokuwa likitokea Soko la Tandale, Manzese jiji...
Read More
ZITTO ATAKA SERIKALI KUTANGAZA JANGA LA NJAA

ZITTO ATAKA SERIKALI KUTANGAZA JANGA LA NJAA

Kiongozi wa Chama cha ACT –Wazalendo, Zitto Kabwe ameitaka Serikali kutangaza rasmi baa la njaa kwa mujibu wa sheria kutokana na hali ya cha...
Read More
Ziara ya Alikiba Nchini Marekani mwezi Machi 2017

Ziara ya Alikiba Nchini Marekani mwezi Machi 2017

Baada ya Alikiba kupost kuhusu TOUR ya Afrika Kusini. Leo amepost kuhusu TOUR yake ya Marekani anayotaraji kuifanya mwezi Machi. Na kuandi...
Read More
AJALI YA GARI YAUA 3 SINGIDA ASUBUHI YA LEO

AJALI YA GARI YAUA 3 SINGIDA ASUBUHI YA LEO

Mkoani Singida Watu watatu wamefariki dunia na wengine 6 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wamepanda la kampuni ya Mohammed Trans kupata a...
Read More
RAIS MPYA WA GHANA KUAPISHWA

RAIS MPYA WA GHANA KUAPISHWA

Rais mpya wa Ghana ataapishwa hii leo, katika taifa ambalo limetajwa na wengine kama lenye kiwango bora zaidi cha Demokrasia Barani Afrika. ...
Read More
MWANAMKE TAJIRI BARANI AFRIKA

MWANAMKE TAJIRI BARANI AFRIKA

Mwanamke tajiri zaidi barani Afrika Isabel dos Santos, bintiye rais wa Angola, amejiongezea utajiri baada ya kuchukua udhibiti wa benki kubw...
Read More
ALIKIBA KWENYE TOUR HII AFRIKA KUSINI

ALIKIBA KWENYE TOUR HII AFRIKA KUSINI

Alikiba kayaandika haya kwenye Instagram kuhusu TOUR yake ya mwezi Februari Nchini Afrika Kusini. Happy New Year. It's time to meet my ...
Read More
TANZANIA: WASICHANA ZAIDI YA 800 WALIKEKETWA

TANZANIA: WASICHANA ZAIDI YA 800 WALIKEKETWA

Wasichana zaidi ya 800 walikeketwa kaskazini mwa Tanzania mwezi uliopita, mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga amesema. Hilo lilifanyika ...
Read More
HELMENTI CHANZO CHA MAGONJWA

HELMENTI CHANZO CHA MAGONJWA

Dodoma. Wakati Sheria ya Usalama Barabarani inamtaka kila dereva wa bodaboda kuwa na kofia ngumu (helmeti) mbili kwa ajili yake na abiria, w...
Read More
TANESCO: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TANESCO: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha Umma kuwa liko katika hatua mbali mbali za mabadiliko ya Uongozi wa ndani ya Shir...
Read More
BARACK OBAMA AMEWAHIMIZA WANA DEMOCRATIC KUPIGANIA OBAMA CARE

BARACK OBAMA AMEWAHIMIZA WANA DEMOCRATIC KUPIGANIA OBAMA CARE

Barack Obama amewahimiza wanachama wa chama cha Democratic kupigania sheria yake ya bima ya afya ambayo utawala wa Donald Trump umeahidi uta...
Read More
HARMONIZE KAYATOA YA MOYONI KUHUSU JANGA LA UNGA KWA WASANII

HARMONIZE KAYATOA YA MOYONI KUHUSU JANGA LA UNGA KWA WASANII

Harmonize kutoka Wasafi ameamua kutoa yake ya moyoni kupitia mtandao wa Instagram kutokana na kile kinachoendelea na kuwakumba baadhi ya was...
Read More
WATATU WAUWA WAKIRUSHIANA RISASI NA POLISI

WATATU WAUWA WAKIRUSHIANA RISASI NA POLISI

WATU watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, wameuawa katika tukio la kurushiana risasi na polisi katika eneo la Mikocheni, karibu na Shule ...
Read More
JESHI LA MUUNGA MKONO RAIS GAMBIA

JESHI LA MUUNGA MKONO RAIS GAMBIA

Mkuu wa jeshi la taifa la Gambia amemuunga mkono rais wa taifa hilo Yahya jammeh licha ya mgogoro unaondelea nchini humo. Bw Jammeh alishind...
Read More
NETANYAU AMUOMBEA MSAMAHA MWANAJESHI

NETANYAU AMUOMBEA MSAMAHA MWANAJESHI

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema anaunga mkono wito wa msamaha kwa mwanajeshi wa Israel aliyekutwa na hatia ya kuuwa bila ku...
Read More