NEEC FANYENI TATHMINI YA KISAYANSI KUHUSU MANUFAA YA MIFUKO YOTE YA UWEZESHAJI-MAJALIWA

NEEC FANYENI TATHMINI YA KISAYANSI KUHUSU MANUFAA YA MIFUKO YOTE YA UWEZESHAJI-MAJALIWA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amelitaka Baraza la U...
Read More

ODINGA KUPEWA SAPOTI NA MAREKANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2017

ODINGA KUPEWA SAPOTI NA MAREKANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2017 . SHIRIKA lisilo la kiserikali lenye makao makuu nchini Kenya lilikutana na ki...
Read More

BARAKAH THE PRINCE ASEMA NDANI YA LABEL YAO 'ROCKSTAR4000' HAWAFANYI VITU KWA KUIGANA

BARAKAH THE PRINCE ASEMA NDANI YA LABEL YAO 'ROCKSTAR4000' HAWAFANYI VITU KWA KUIGANA. Msanii wa muziki wa Bongo fleva, Barakah The...
Read More

TANZIA BABA YAKE BELLE9 AMEFARIKI DUNIA

Msanii Belle 9 amefiwa na baba yake mzazi mzee Damian aliyefariki usiku wa kuamkia leo akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali. . . Meneja ...
Read More

SERIKALI YA ZIMBABWE YAPITISHA SHERIA YA KUTUMIA MIFUGO KULIPA ADA ZA SHULE

Serikali ya Zimbabwe imeruhusu wazazi kulipa ada kwa mifugo au kwa kufanya kazi ktk shule husika kama malipo. Waziri wa Elimu, Dr. Lazarus...
Read More

KILA SAA MOJA UNAYOTUMIA KUKIMBIA, UNAONGEZA SAA SABA ZA KUISHI

Wataalamu wa afya kila siku husisitiza kufanya mazoezi hata kwa muda wa nusu saa kwa ajili ya kujiepusha na magonjwa mbalimbali ambapo leo ...
Read More

BARAKA THE PRINCE ASEMA MPENZI WAKE NAJ HANA KASORO

Msanii Baraka The Prince ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Acha niende' amefunguka na kusema yeye ameridhika na Najma kwa ki...
Read More

PFunk ameijibu kauli ya #MasterJ ya kuwa kuna baadhi ya wasanii ambao hawana vipaji lakini wanaishi kwa ‘kiki’ na kupewa nafasi kubwa kuliko wasanii wenye vipaji

#Pfunk alisema kuwa yeye kama meneja wa #Harmorapa ndiye anayejua ni silaha za aina gani amezitengeneza kwa ajili ya mashambulizi ya kufanya...
Read More

Rayvanny na mpenzi wake FAHYMA wapata mtoto

#Rayvanny na mpenzi wake #Fahyma wapata mtoto Taarifa za kupata mtoto zimetolewa na #Rayvanny kupitia Instagram. #Rayvanny👉 “Ho...
Read More

MEXIME: KUCHEZA NA SIMBA NI KUJISUMBUA

Kocha wa Kagera Sugar Mecky Maxime ameilaumu Kamati ya masaa 72, kwa kuwapoka pointi tatu kwa madai ya kumchezesha beki Mohamed Fakhi mweny...
Read More

MANJI: NATAKA KUISUKA UPYA YANGA SC

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji amesema kuwa anataka kusuka upya timu hiyo ili wawezekufanya vizuri kwenye mashindao ya kimataifa...
Read More

BongeLa Nyau Afunguka kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na #Shilole

BongeLa Nyau Afunguka kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na #Shilole japo watu wamekuwa wakiwaona karibu kiasi cha kuzusha kwamba wawili hao n...
Read More

Mourinho:Hakuna furaha zaidi ya kuwafunga chelsea

Baada ya kufanikiwa kuifinga timu yake ya zamani ya Chelsea goli 2- 0, katika uwanja wa Old Traford, Meneja wa Timu ya Manchester United Jo...
Read More

BINADAMU MZEE KULIKO WOTE AFARIKI AKIWA NA MIAKA 117

mzee kuliko wote duniani amefariki jana huko Italia, alikuwa na umri wa miaka 117. Emma Morano alizaliwa tarehe 29 Novemba 1899, katika mko...
Read More

Trump Atuma Jeshi la Marekani Kupambana na Al-Shabaab

Trump Atuma Jeshi la Marekani Kupambana na Al-Shabaab Rais wa Marekani, Donald Trump ameagiza vikosi kadhaa vya jeshi la nchi hiyo kuingia ...
Read More

TOTO YAIVUTA SHATI SIMBA

Klabu ya Toto African leo imeendeleza rekodi yake ya kutokufungwa na Klabu ya Simba kwa takribani miaka saba sasa pindi Toto inapocheza kat...
Read More

JayMoe amesema yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao wamekuwa wakisemwa wana gundu na hawana bahati

JayMoe amesema yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao wamekuwa wakisemwa wana gundu na hawana bahati. Lakini hilo halikumkatisha tamaa na kuzi...
Read More

Jux apata kigugumizi kuzungumzia kinachoendelea kati yake na Vanessa

Baada ya tetesi kuzagaa katika mitandao ya kijamii kuwa #Jux ameachana na mpenzi wake #VanessaMdee, #Jux ameshindwa kufunguka hukusu sakata ...
Read More

JINA LA ROMA LAWA GUMZO TENA BAADA YA KUTOA KIPANDE CHA VIDEO MTANDAONI AKIIMBA WIMBO WA DINI

Msanii wa muziki wa hip hop Roma Mkatoliki amekuwa gumzo baada ya kuonekana akiimba wimbo wa kumsifu Mungu ikiwa na wiki moja toka atekwe ...
Read More

Mbunge Kenya aja na mbinu ya kutibu UKIMWI bila kutumia dawa

Mbunge wa Magarini katika Kaunti ya Kilifi, Harry Kombe amesema kuwa anaweza kutibu ugonjwa wa UKIMWI pamoja na magonjwa mengine bila kutum...
Read More

Kitabu App Yazinduliwa

Kitabu is an e-book mobile application designed to enabled people to read, preview, listen and download range of books from different author...
Read More

Malaika bado yupo yupo sana kwenye muziki

Yupo wapi Malaika? Hilo ndio swali wanalojiuliza mashabiki kwa sasa. Hitmaker huyo wa Rarua, amekiambia kipindi cha Dj Show cha Radio ...
Read More

Hicho ndio kikosi cha Yanga kitachoenda kupambana na Alger

Klabu ya soka ya Yanga SC inapenda kutoa taarifa juu ya safari yake leo Alhamisi kwenda Algeria katika mechi ya marudiano dhidi ya Mc Alger....
Read More

Raymond afurahia Alikiba kuuzimikia wimbo wa Kwetu

Alikiba alijikusanyia pointi tatu mapema wiki hii kutoka upande wa hasimu wake Diamond baada ya kuonekana akiimba wimbo wa Raymond ‘Kwetu’....
Read More

WAZIRI MKUU: TOENI TAARIFA ZA AJIRA KILA ROBO MWAKA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka ya serikali za mitaa, wizara na taasisi zote zitoe taarifa za ajira zinazozalishwa kutokana ...
Read More

YANGA SC : Taarifa kwa Umma

Klabu ya soka ya Yanga SC inapenda kutoa taarifa juu ya safari yake hapo kesho kuelekea Algeria katika mechi ya marudiano dhidi ya Mc Alger ...
Read More

Msichana anayeugua ugonjwa wa kuzeeka afariki A. Kusini

Afrika Kusini inaomboleza kifo cha Ontlametse Phalatse, msichana wa umri wa miaka 18 ambaye alikuwa anaishi na ugojwa unaojulikana kama Prog...
Read More

MWILI WA MWANAUME WAKUTWA UMEFUKIWA MISITU YA MAGWEPANDE

Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Onoratus Mwinuka aliyepotea wiki mbili, mwili wake umekutwa umefukiwa kwenye pori la Mlolo Mabwepande nje ki...
Read More

Mwigulu awachana wabunge Ridhiwani Kikwete, Hussein Bashe, Zitto Kabwe juu ya kukaa kimya kufatia sakata la kutekwa kwa 'Roma'

Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu leo amewatolea majibu wabunge waliokuwa wakihoji juu ya ukimwa wake Bungeni kufatia tukio la kutekwa kwa M...
Read More

Harmorapa amefunguka kuhusu kumiliki bastola yake binafsi

Rapper huyo machachari ambaye kila kukicha huteka vichwa vya habari kutokana na vituko vyake, amefunguka kuwa japo ana mali nyingi kwa sasa ...
Read More

Tunda aeleza jinsi sakata la dawa za kulevya lilivyobadili maisha yake

Video queen #Tunda amedai kutajwa kwake kwenye orodha ya wanaohusika na dawa za kulevya kumempa changamoto ya kuaminika nyumbani kwa wazazi...
Read More

WADAU KUICHANGIA SERENGETI BOYS

Dar es Salaam.Kamati ya kuhamasisha Watanzania kuichangia timu ya taifa ya vijana ‘Serengeti Boys’ imeandaa hafla maalumu ya chakula cha us...
Read More

Ndoa ya Lulu, Dj Majizo Yanukia

Bongomovies editor BAADA ya kuwa kimya kwa muda mrefu, staa wa filamu mwenye vituko vingi, Elizabeth Michael ‘Lulu’, ameibuka na kuweka wazi...
Read More

Sugu: Mbunge Mlinga wa CCM Anatukana Mbona Naibu Spika Anamlinda Tukiomba Mwongozo..!!!?

Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi amehoji inakua vipi mbunge wa Goodluck Mlinga wa CCM amekuwa akitukana wapinzani mara kwa mara bungen...
Read More

KAULI TATA ZA NAY WA MITEGO

1. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua. #Wapo☝🏾️ 2. Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye Quality Mbovu, ...
Read More

WCB WASAFI KUJA NA NGOMA YA KUNDI

#WCB Wasafi kuja na ngoma Ya Kundi. Ni kundi lenye wasanii wakali kwenye bongo fleva Tanzania, Talk about Diamond. Platnumz, Harmonize, Ric...
Read More

ALICHOSEMA Ben Paul KWA WANAUME WANAOKATAA MIMBA

#BenPol amewataka wanaume kutokutaa mimba kwa sababu kufanya hivyo wanasababisha vifo vya watoto wasio na hatia. Benpol alidai wasichana we...
Read More

Stamina amesema alikuwa chimbo kwa ajili ya kuandaa albamu yake mpya

#Stamina amesema alikuwa chimbo kwa ajili ya kuandaa albamu yake mpya ambayo itatoka ndani ya mwaka huu. Rappa huyo ambaye mwaka 2016 alifa...
Read More

HusseinBashe awataka wabunge CCM kuacha unafiki

HusseinBashe awataka wabunge CCM kuacha unafiki , akisema yupo tayari kufukuzwa ila kweli alikamatwa na maafisa wa usalama wa taifa. 'C...
Read More

WEMA SEPETU NA MAFUFU NDANI BIFU ZITO

NYOTA wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jimmy Mafufu, wameingia kwenye bifu kiasi cha kufikia kurushiana maneno kupitia kitandao ya kijamii. ...
Read More

Nuh Mziwanda Afumwa na Shilole Zanzibar

Msanii wa bongo fleva Nuh Mziwanda amesema Shilole ni msanii mwenzake na walivyoenda Zanzibar hawakuwa pamoja kila mtu alikuwa ameenda kwa k...
Read More

PROF. MAGHEMBE: KUANZIA MAY MWAKA HUU MARUFUKU KUSAFIRISHA MKAA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe ametangaza mabadiliko muhimu katika biashara ya mkaa nchini na kubainisha kuwa agiz...
Read More

GWAJIMA, WENZAKE KUJITETEA KORTINI LEO

Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Josephat Gwajima na wenzake watatu  wataendelea kujitetea leo katika mahakama ya hakimu mkazi Kisu...
Read More

MVUA YASABABISHA VIFO, MAJERUHI NA WENGINE 170 KUKOSA MAKAZI

Takriban miezi sita baada ya kuathirika na tetemeko la ardhi, wakazi wa Bukoba wamefikwa na maafa mengine ya mafuriko yaliyosababisha watu ...
Read More