#Shilole Amefunguka na kusema hana kinyongo na ex wake #NuhMziwanda na ndio maana mwaliko wa 40 ya mtoto wa kike wa Nuh na mke wake Nawal uk...
Read More
Home » Archive for March 2017
Barakahtheprince Kasema haya kuhusu Wimbo wake wa Nisamehe aliyomshirikisha Alikiba
Barakah The Prince amedai kuwa kumshirikisha Alikiba kwenye wimbo wake Nisamehe kulikuwa na changamoto hasa kutokana na mvutano uliopo kati...
Read More
Mashabiki wa Muziki wamdhihaki Diamond mtandaoni
MASHABIKI wa muziki wa Bongo Fleva nchini wamekuwa wakisambaza picha ya mwanamuziki nyota, Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’, ikimuonyesha aki...
Read More
MauaSama amedai hakuna kitu kinachomuingizia mkwanja mwingi kwa sasa kama muziki
#MauaSama amedai hakuna kitu kinachomuingizia mkwanja mwingi kwa sasa kama muziki mpaka kufikia hatua ya kuagiza gari mpya.. amesema kazi y...
Read More
MWALIMU JELA MIAKA 4 KWA KUMHIKA MATITI MWANAFUNZI WAKE
Mahakama ya Wilaya mwanakwerekwe imempeleka chuo cha mafunzo miaka 4 khamis Zahir mwalim (24) mkaazi wa Mfenesi maziziz Wilaya ya Mjini kwa...
Read More
TANESCO YAIKATIA UMEME HOSPITALI, WAGONJWA WATAHARUKI
Wananchi wa Kilwa Kivinje na wilaya ya Kilwa wameingiwa na taharuki baada ya shirika la umeme wilaya ya Kilwa (TANESCO)kukata umeme katika ...
Read More
TIRA KURUDISHA THAMANI YA HUDUMA ZA BIMA
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imejizatiti kurudisha thamani ya huduma za bima kwa kubadilisha baadhi ya sheria na kanuni za ...
Read More
Shy-Rose Bhanji aisoma namba CCM
Aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Shy-Rose Bhanji amelalamika jina lake kukatwa katika kinyan...
Read More
BODABODA ZAPIGWA MARUFUKU RUFIJI
Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Pwani umesitisha usafiri wa pikipiki maaruf kama bodaboda ifikapo majira ya jioni katika wilaya ya ...
Read More
Kamati ya Nape Yamjibu Mwakyembe
Katibu wa kamati iliyoundwa na Nape Nnauye kuchunguza sakata la uvamizi Clouds Media, Deodatus Balile amesema yeye kama mwanahabari na mwana...
Read More
Kimenukaa Clouds.., Mfanyakazi Asimamishwa kwa Kutangaza Habari ya Makonda
Bodi ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) imekutana jijini Dar es Salaam leo Machi 30, 2017. Pamoja na mambo mengine imejadili mwenendo wa v...
Read More
NAY WA MITEGO: Bongo Fleva wasiposimama Kidete Kuupigania Muziki wao, Utapotezwa na Siasa
#NaywaMitego amedai kuwa kama wasanii wa Bongo Flava wasiposimama kidete kuupigania muziki wao, kuna hatari ukapotezwa na siasa. Amedai kuw...
Read More
Alichosema MkubwaFella kuhusu Kurudi kwa kundi la YAMOTO BAND
#MkubwaFella afunguka kuhusu #YamotoBand Na kusema kuwa sababu iliyosababisha #yamotoband kuwa kimya kwa kipindi chote ukamilishaji wa tat...
Read More
LADY JAYDEE AMEFUNGUKA JUU YA MAHUSIANO YAKE NA KUACHANA NA MPENZI WAKE MNIJERIA
#Spicy Ni baada ya maneno kuzagaa kuwa amepigana kibuti na Mnigeria huyo ikiwa ni siku wiki chache baada ya kuandika maneno yaliyomo kwenye...
Read More
Alichokiandika Wema Sepetu baada ya Akaunti ya Instagram ya Shamsa Kuhack
Mane no ya w em as e petu Dah Ila 2.1M Followers ni wengi jamani.... Mrudishieni tu Kamanda Baby Shamsa account yake.... Mwenyewe kasema ...
Read More
Mbunge Peter Lijuakali ameachiwa huru
Mahakama Kuu ya Tanzania imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero ambayo ilimtia hatiani na kumfunga jela mhe. Peter...
Read More
JOB: ACCOUNTS CLERK
Accounts Clerk Accounting & Bookkeeping Details Employer Name: Sirdle Holdings Ltd Organization Type: Private Sector Role: Entry Level P...
Read More
JOB STANBIC BANK: Internal Audit
Officer, Internal Audit Accounting & Bookkeeping, Banking & Finance Details Employer Name: Stanbic Bank Organization Type: Private ...
Read More
JB ADAI YANGA HAIWEZI KUWA YA KIMATAIFA
Msanii Steven Jacob maarufu kama JB amefunguka na kusema klabu ya Yanga ni chanzo cha watu wengi kupatwa na matatizo ya moyo sababu klabu hi...
Read More
ONDOA UOGA KUONGEA MBELE ZA WATU WENGI
ONDOA UOGA WA KUONGEA MBELE ZA WATU WENGI KWA NJIA HIZI KUMI (10)! 1.Wahusishe unaozungumza nao kwa kuwafanya wachangie mjadala kwa kiasi F...
Read More
MABASI YA MWENDOKASI YAPATA AJALI
MABASI YA MWENDOKASI YAPATA AJALI Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo asubuhi katika makutano ya Barabara ya Msimbazi na Morogoro j...
Read More
HALI YA UTULIVU YAREJEA NAMANGA MPAKANI MWA TANZANIA
HALI YA UTULIVU YAREJEA NAMANGA MPAKANI MWA TANZANIA Hali ya utulivu imerejea eneo la Namanga, katika mpaka wa Kenya na Tanzania siku moja...
Read More
WALIOPITISHWA NA CCM KUGOMBEA EALA (BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
WALIOPITISHWA NA CCM KUGOMBEA EALA WANAWAKE BAR A 1. Zainab Kawawa 2. Fancy Nkuhi 3. Happiness Mgalula WANAUME BARA 1.Ngwaru Magembe ...
Read More
DODOMA: Mkuu wa Mkoa Paul Makonda alihojiwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akihojiwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, kinga na Madaraka kujibu tuhuma zinazomkabili za...
Read More
Waziri Mwakyembe Kuwakutanisha Alikiba na Diamondplatnum
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amesema ana mpango wa kuwakutanisha pamoja @officialalikiba na @diamo...
Read More
UWANJA WA NDEGE WAPEWA JINA LA RONALDO
UWANJA WA NDEGE WAPEWA JINA LA RONALDO Nyota Cristiano Ronaldo amejipatia heshima nyingine katika kisiwa alichozaliwa Madeira baada ya uwan...
Read More
Clouds Tv Wavigeuka Vyombo vya Habari Kuhusu Makonda
Clouds Tv Wavigeuka Vyombo vya Habari Kuhusu Makonda?, Wamsifia na Kumshukuru.... Hatimaye Clouds Fm Kupit Kipindi chake cha Clouds Sport B...
Read More
NAPE: NITAENDELEA KUWA MTIIFU KWA RAIS MAGUFULI
NAPE: NITAENDELEA KUWA MTIIFU KWA RAIS MAGUFULI Aliyekuwa Waziri wa habari,Utamaduni,Sanaa, na Michezo Nape Moses Mnauye amesema kuwa ataen...
Read More
JOB: Social Media Assistant Marketing, Advertising & PR
Social Media Assistant Marketing, Advertising & PR Details Employer Name: StarTimes TANZANIA LTD Organization Type: Private Sector Role...
Read More
JOB: PEOPLE DEVELOPER (EDUCATION AND TEACHING)
People Developer (PD) Education & Teaching Details Employer Name: People Builders Ltd Organization Type: Private Sector Role: Experienc...
Read More
JOB: Accountant (Organization GJB GROUP)
Accountant Accounting & Bookkeeping Details Employer Name: GJB GROUP Organization Type: Private Sector Role: Experienced Position Type: ...
Read More
Juma Nature: Afunguka Juu ya Tuhuma kutoka kwa 'Harmorapa' kuwa amemtoza Pesa Nyingi Kwenye Kolabo yake
Msanii mkongwe wa muziki nchini, Juma Nature amevunja ukimya baada ya Harmorapa kumtuhumu kumdai pesa ya mavazi kwa ajili ya video ya wimbo...
Read More
Mbinu za kutunza Ngozi zenye Mafuta
Sababu ya ngozi kuwa na mafuta hutokana na na tezi za sebaceous na kuzalisha mafuta zaidi ya kiwango ambacho ambacho kinatakiwa. Lakini lic...
Read More
FEDHA ZA MAENDELEO ZAONGEZEKA KWA ASILIMIA 36
Fedha za maendeleo zaongezeka kwa asilimia 36 Serikali imewasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa na kiwango cha ukomo wa baje...
Read More
SIRI YA KUDUMU KATIKA MAHUSIANO YA NDOA
Siri Ya Kudumu Katika Mahusiano Ya Ndoa.... Zipo changamoto ambazo zinazosababisha ndoa nyingi kufa. Hata hivyo kufa kwa ndoa hizo husabab...
Read More
ZARI AFURAHIA KULIRUDISHA UMBO LAKE FASTA
Changamoto kubwa aliyonayo mwanamke baada ya kujifungua mtoto ni kulirudisha umbo lake katika ubora wake. Na kwa wanawake ambao uzuri na muo...
Read More
DAYNA NYANGE: KWENYE MUZIKI MAMBO YAMEKUWA TIGHT WASANII WANALIA NJAA
Mwanamuziki Dayna Nyange mwenye ‘hit song’ ya #Komela amefunguka yake ya moyoni na kusema wasanii wanakufa njaa kutokana na hali ya maisha k...
Read More
NDUGAI AIONYA SERIKALI
NDUGAI AIONYA SERIKALI Spika wa Bunge, Job Ndugai ameionya Serikali juu ya ucheleweshaji wa uwasilishaji wa mapendekezo ya Mpango wa Maende...
Read More
KICHUYA KUONDOKA BAADA YA MECHI YA LEO
KICHUYA KUONDOKA BAADA YA MECHI YA LEO Nyota saba wa Simba waliokoa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ wanaondoka Jumatano Machi...
Read More
CANADA KUHALALISHA MATUMIZI YA BANGI MWAKANI
CANADA KUHALALISHA MATUMIZI YA BANGI MWAKANI Serikali ya Canada imepanga kuwasilisha mswada wa kuhalilisha Matumizi ya Bangi kwa kujiburudi...
Read More
NDESAMBURO ARUDI KATIKA SIASA
NDESAMBURO ARUDI KATIKA SIASA Mbunge Wa Zamani Wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo Ni Miongoni Mwa Makada Wawili Wa Chadema Waliojitokeza K...
Read More
MAALIM SEIF AVULIWA UKATIBU MKUU CUF
MAALIM SEIF AVULIWA UKATIBU MKUU CUF Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi (CUF) Jumanne hii limemvua, Maalim Seif nafasi ya Uk...
Read More
MSHAURI WA MANDELA AFARIKI
MSHAURI WA MANDELA AFARIKI Mwanaharakati za ukombozi wa Afrika Kusini, Ahmed Kathrada aliyefungwa gereza moja na Nelson Mandela, amefariki ...
Read More
KANISA KATOLIKI LA MBINGA LIMEMFIKISHA MAHAKAMANI MTAWA
KANISA Katoliki Jimbo la Mbinga mkoani Ruvuma, limemfikisha mahakamani mtawa wa kanisa hilo, Emmanuela Nindi (40) kwa tuhuma ya kuliibia Sh...
Read More
NIKKI MBISHI AWAGEUKIA BASATA NI BAADA YA KUONA WIMBO WA NAY UMERUHUSIWA KUCHEZWA
Ni miezi michache sasa imepita toka tusikie wimbo wa I’ m Sorry JK umefungiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa kile alichosema Nikk...
Read More
RAIS MAGUFULI AAMURU NEY WA MITEGO AACHIWE HURU
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, ameliagiza Jeshi la Polisi kumuachia huru Msanii Ney wa Mitego aliyek...
Read More
MASHABIKI "WALIVYOMLIZA'' NAPE NNAUYE
UPENDO ambao mashabiki wa mpira wa miguu waliuonesha jana kwa Nape Nnauye, aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo ulimliza kiongozi hu...
Read More
NAY WA MITEGO AMEFIKISHWA POLISI DSM, NA HAWA NDIO MAWAKILI WAKE
Kwa mujibu wa wakili Msomi Peter Kibatala amesema kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa... Peter Kibatala "Nay wa Mitego amefikishwa...
Read More
ASKOFU MKUU ANGLIKANA : VIONGOZI KUBALINI KUKOSOLEWA
Viongozi kubalini kukosolewa- Askofu mkuu Anglikana Askofu mkuu wa kanisa Anglikan Tanzania Dkt. Jacob Chimeledya amewataka baadhi ya viongo...
Read More
Majina 25 ya Makatibu wapya wa CCM wa Mikoa
Majina 25 ya Makatibu wapya wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara Leo March 26, CCM imefanya uteuzi wa watendaji wake kwa nafasi za Makatibu wa M...
Read More
Subscribe to:
Posts (Atom)