Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 7.9

Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 7.9 katika robo ya 2 ya mwaka 2016. Ukuaji huo umechangiwa na sekta za Madini, Uzalishaji na ...
Read More

CHADEMA kwa mara nyingine tena wamesitisha maandamano ya UKUTA

CHADEMA kwa mara nyingine tena wamesitisha maandamano ya UKUTA iliyokuwa imepangwa kufanyika Oktoba Mosi ili kupisha mbinu nyingine m...
Read More

Mpango na ndoto za Yusuf Manji kuichukua Yanga waanza kutimia

Kuelekea kumkabiri Mnyama SIMBA hapo kesho, zipo taarifa za  Boss wa klabu ya YANGA Yusuf Manji kusaini mkataba na  Bodi ya Wadhamini wa...
Read More

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Bomba la kusafirisha Mafuta kukamilika ifikapo 2020 kutoka Uganda hadi Tanga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ujenzi wa Bomba la kusafirisha Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka bandari ya Tanga ut...
Read More

UTAFITI: CHUNUSI HUMFANYA MTU KUONEKANA MDOGO

Iwapo wewe ni kijana ambaye una chunusi ,unaweza kujihisi kana kwamba ni mwisho wa dunia. Lakini utu uzima wako utakusaidia. Utaf...
Read More

MAOFISA WA CRDB KUWAJIBISHWA UFUNGUZI WA AKAUNTI YA MAAFA

Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk Charles Kimei ameagizwa kuwachukulia hatua watumishi wa benki hiyo walioshiriki kuanzisha akaunti nyi...
Read More

Diamond na Team nzima ya Wasafi kushiriki kupanda Mti #Oct1st

Maneno ya Diamond kukiri kushiriki tarehe 1 octoba katika siku yakupanda Mti kwenye Kampeniya Mti Wangu.............. Haikuwa rahisi kuh...
Read More

Shamsa Ford awaasa Wanawake wenzake kuhusu kupunguza Chuki na Matusi

Shamsa kayaongea haya kwa Wanawake wenzie  Natamani ifike siku wanawake tukomae kiakili...
Read More

Taasisi ya TWAWEZA wanazindua ripoti ya utafiti kuhusu, "Demokrasia, Udikteta na Maandamano

Leo Taasisi ya TWAWEZA wanazindua ripoti ya utafiti kuhusu, "Demokrasia, Udikteta na Maandamano: Wananchi wanasemaje?" Japokuw...
Read More

Rais Magufuli amuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB

Rais Magufuli amuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB kuwachukulia hatua maafisa wa benki hiyo walioshiriki kufungua akaunti hewa ya maafa ...
Read More

Wastara apata Mkataba Mnono wa Millioni 400

Maneno ya Wastara baada ya kupata Mkataba  leo tal 28 nimesain rasmi mkataba wa kuwa balozi wa company ya uuzaji wa sim...
Read More

Jaji Joseph Warioba amesema kwa sasa nchi imepoteza mwelekeo

Jaji Joseph Warioba amesema kwa sasa nchi imepoteza mwelekeo katika masuala ya itikadi, Sera na maendeleo, badala yake imebaki kuongozwa kis...
Read More

Mrisho Mpoto akiri kuanza Kuvaa Viatu

Ikumbukwe kuwa kwa muda mrefu Msanii wa nyimbo za asili mrisho amekuwa akionekana katika majukwaa na hafla mbalimbali akiwa peku. Na huu ume...
Read More

Wema Sepetu ameyaandika haya katika Siku yake ya kuzaliwa

Ni takribani Siku tisa zimepita bila ya Wema Sepetu kutuma picha wala post yoyote katika mtandao wa Instagram. Ila leo katika Siku ya Ku...
Read More

Alikiba Amechaguliwa kwenye Tuzo nyingine za MTV Europe Music Awards

Alikiba ameyaongea haya Baada ya kuchaguliwa kwenye Tuzo hizi za  MTV Europe Music Awards katika Kipengele cha  #BestAfricanAct. Thank...
Read More

Baraza Kuu la Uongozi CUF limemfukuza uanachama, Prof. Lipumba

MAAMUZI YA BARAZA KUU LA UONGOZI TAIFA LA CUF lililokutana leo Zanzibar: 1. Limemfukuza uanachama, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba b...
Read More

Ndege ya pili mpya ya Bombadier Q400 ya ATCL imewasili

Ndege ya pili mpya ya Bombadier Q400 ya ATCL imewasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) ikitokea nchini Canada . ...
Read More

Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi

Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu tawala wa mkoa wa Kagera Bw.Amantius Msole na kumfuta kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya ...
Read More

Chuo kikongwe zaidi katika ulimwengu wa nchi zinazozungumza Kiingereza kimeongoza katika orodha ya Vyuo bora duniani.

Chuo kikongwe zaidi katika ulimwengu wa nchi zinazozungumza Kiingereza na kilichotoa viongozi mashuhuri nchini Uingereza cha Oxford, kimeon...
Read More

Alichoongea Mtangazaji Skytanzania kuhusu Alikiba na Diamond

Haya ndiyo aliyoongea Skytanzania Mtangazaji na Mwandishi wa vitabu katika Mtandao wa Instagram kuhusu kufanya show kwa Wasanii wa Tanzania ...
Read More

Waziri Mkuu amewasimamisha kazi maofisa misitu

Waziri Mkuu amewasimamisha kazi maofisa misitu 4 na kusitisha uvunaji wa misitu eneo hilo kwa kutoridhishwa na usimamizi. Maofisa walio...
Read More

Ziara ya Magufuli Bandarini Leo

Rais Magufuli leo amefanya ziara Bandarini. Awataka maofisa wa ngazi za juu wa TPA wenye vyeti bandia wajisalimishe mara moja. Amekuta ...
Read More

Wolper na Timu Wolper wamuunga mkono Paul Makonda na katika Project ya Mti Wangu Agosti 1

Maneno ya Wolper kuhusu kumuunga mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.. My people .. Kwanza niwashukuru kwa ushirikiano wenu s...
Read More

Waziri Nape Nnauye ameijibu Marekani kufuatia kauli yao kuhusu hali ya Demokrasia nchini

Waziri Nape Nnauye ameijibu Marekani kufuatia kauli yao kuhusu hali ya Demokrasia nchini, ameitaka ijinyooshee kidole yenyewe kabla haijaing...
Read More

Bohari Kuu ya Dawa nchini(MSD) inakabiliwa na upungufu mkubwa

Bohari Kuu ya Dawa nchini(MSD) inakabiliwa na upungufu mkubwa wa madawa, Serikali imeipa 32% ya fedha inazotakiwa kupata. Serikali il...
Read More

Bata la hatari la Diamond na Zarithebosslady laendelea huko Zanzibar

Baada ya kusherehekea Siku ya kuzaliwa ya Mpenzi wake Zari. Diamond na mpenzi wake wameendelea kusherehekea sikukuu hiyo. ...
Read More

Maneno Mazito ya Baba AMINA CHIFUPA kwa Shamsa Ford

Kama ilivyokuwa ni utamaduni wa Wazazi wa kiafrika kuwaasa mabinti zao na vijana wao ambao wanaingia katika mahusiano na Ndoa ili kuwapa ham...
Read More

Rekodi za Manchester United Kali ambazo Leicester hawajazifikia

ManUtd wamefanikiwa kufunga katika mechi 14 zilizopita vs Leicester City katika Barclays Premier League - wamefunga jumla ya magoli 33. ...
Read More

Maneno Mazito ya Barakahtheprince kwa Mpenzi wake Najma

Barakahtheprince ambaye anatamba na nyimbo yake ya Nisamehe ambayo amemshirikisha Alikiba maarufu kama KingKiba waliyoiachia Mwezi huu. Bara...
Read More

Aliko Dangote amesema ana mpango wa kuinunua klabu ya Arsenal

Tajiri namba moja barani Afrika, Mnigeria, Aliko Dangote amesema ana mpango wa kuinunua klabu ya Arsenal ya England katika kipindi cha miaka...
Read More

MAPICHA: Diamond asherehekea Siku ya Kuzaliwa ya Zarithebosslady huko Zanzibar

Zarinah Hassan Nasur ambaye ni Mke wa msanii Diamond Platnumz jana ilikuwa siku yake ya kuzaliwa. Na sherehe yao wanasherehekea wakiwa Zan...
Read More