CHUO CHAFUNGWA BAADA YA KUTUNUKU SHAHADA WANAFUNZI WALIOSOMA KWA SIKU 60

Baraza la Taifa la Elimu ya Juu nchini Uganda (NCHE) limebatilisha kibali cha Chuo Kikuu cha Busoga kufuatia kitendo cha wanafunzi zaidi ya ...
Read More

APIGWA NA GLASS USONI KWA KUONGEA KISWAHILI MAREKANI

Mwanamke mmoja raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika amemsaheme mtu aliyempiga na bilauri (glass) ya kunywea bia usoni sababu alisikika ak...
Read More

MWANAFUNZI AFAMAJI AKIOGELEA KRISMAS

Mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Sekei iliyopo jijini Arusha, Cliff Laiza (12) amekufa wakati akiogelea kwenye bwawa lenye ki...
Read More

Serikali kuendelea kutibu sumu ya nyoka

SERIKALI imesema itaendelea kutoa dawa zinazotibu sumu ya nyoka ili kupambana na tatizo hilo nchini. Kauli hiyo ya serikali ilitolewa Dar es...
Read More

UK Based Telecom Expand in Tanzania

UK-based data, voice and IP provider for Africa, Liquid Telecom, is set to expand in Tanzania through the acquisition of Raha, the count...
Read More

MAMBO AMBAYO ANASHUKURU SHAMSA FORD NDANI YA MWAKA 2016 IKIWEMO KUPATA MUME

Shamsa Ford ambaye amefunga Ndoa na Mpenzi wake Rashid maarufu kwa jina la ChiddMapenzi ameandika ujumbe huu kushukuru kwa Mungu kwa mambo ...
Read More

AKATWA SIKIO BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU

Babati . Dereva bodaboda wa mji mdogo wa Qatesh Wilayani Hanang’ Mkoani Manyara, amejeruhiwa kwa kukatwa sikio kwa kutumia kisu, baada ya ku...
Read More

RAIS MAGUFULI ATEUA MWENYEKITI MPYA WA NEC

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
Read More

ALICHOANDIKA TUNDU LISSU BAADA YA KUPATA DHAMANA JANA

Tundu Lissu aachiwa kwa dhamana. Alikamatwa na Polisi, kuhusiana na swala la Ben Saanane ambapo Tarehe 14 Desemba mwaka huu, Lissu alizungu...
Read More

MWENDO KASI WAPONZA MADEREVA 277

Dar es Salaam. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani ,Mohamed Mpinga amesema madereva wa mabasi zaidi ya 277 wamefikishwa mahakamani kwa ...
Read More

Polisi yaomba msaada kumtafuta msaidizi wa Mbowe

Baada ya kukaa siku 33 bila kuzungumzia kutoweka kwa Ben Saanane ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, jana Jeshi la P...
Read More

Jela miaka 30 kwa kubaka mtoto wa miaka tisa

Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela, Shabani Huseni(29) baada ya kupatikana na hatia ya kubaka mtoto wa miaka...
Read More

SERIKALI YAFAFANUA UAMUZI WA KUZUIA USAFIRISHAJI WANYAMA HAI NJE

Dar es Salaam. Serikali imetoa ufafanuzi wa uamuzi wake wa kuzuia biashara ya usafirishaji wa wanyama hai nje ya nchi kwa kipindi cha miak...
Read More

Wakulima wakutwa na kilo 5,000 za bangi |

POLISI mkoani Morogoro wakishirikiana na kikosi kazi cha taifa cha kupambana na dawa za kulevya wamekamata tani tano za bangi, mbegu zake za...
Read More

IRINGA: Azikwa kaburi moja na Kondoo

MAMIA ya wakazi wa kijiji cha Mbigili na mji wa Ilula katika wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa jana walifurika katika mazishi ya ai...
Read More

Darassa ashauriwa na daktari kutofanya shoo kwa muda baada ya kupata ajali

Darassa ambaye anafanya vizuri na Nyimbo yake ya "Muziki" Wiki alipata ajali ya Gari na kupelekwa Hospitali. Akiwa anahojiwa Jana ...
Read More

MTOTO WA MIAKA 14 AFUNGISHWA NDOA MKOANI MOROGORO

Serikali wilayani Malinyi mkoani Morogoro imeliagiza jeshi la polisi kumtafuta na kumfikisha mahakamani kijana aliyeatambulika kwa jina moja...
Read More

WAZIRI WA VIWANDA ATEUA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAENDELEO YA BIASHARA

Kufuatia uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, wa kumteuwa Mhandisi Chri...
Read More

Majambazi Wawili Wauawa Jijini Mbeya Katika Mapambano Makali Kati Yao Na Jeshi La Polisi

Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya wamefanikiwa kuzuia tukio la ujambazi katika mapambano ya kurushiana risasi na watu waliosadikiwa kuw...
Read More

Tanzania Mortgage Market Record 13% Growth in 2016

The results were included in the Q3 mortgage market update for Tanzania by the Tanzania Mortgage Refinance Company (TMRC). As at 30 Septe...
Read More

Wafanyakazi wizarani kuhamia Dodoma Januari

WIZARA ya Katiba na Sheria imeanza utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kuhamia mjini Dodoma kabla ya Februari mwakani. Kwa mu...
Read More

'ASKOFU' feki atuhumiwa kutapeli viongozi

JESHI la Polisi limesema limemkamata mtuhumiwa wa utapeli anayejulikana kwa jina la Wilfred Masawe (36), mkazi wa Buza, Temeke jijini Dar es...
Read More

REAL MADRID YAPUNGUZIWA ADHABU

Klabu ya Real Madrid imepunguziwa adhabu ya kifungo cha kutokusajili wachezaji mpaka Januari mwaka 2018 walichoadhibiwa na Fifa. Madrid...
Read More

BIASHARA YA MENO YA TEMBO YAMTUPA JELA MIAKA 25, FAINI SH 3.7 BILIONI

Tanga. Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga imemuhukumu kifungo cha miaka 25 ama kulipa faini ya Sh 3.7 bilioni mfanyabiashara, Charles Kijangwa...
Read More

MDOSI HAKUNIDUNDA INDIA- FRANCIS CHEKA

Bondia Mtanzania Francis Cheka ambaye mwishoni mwa wiki alipoteza pambano lake nchini India alilopigana na raia wa nchi hiyo Vijender Singh,...
Read More

SERIKALI YAKANUSHA TAARIFA ZA KUZUIA WATUMISHI WA UMMA KUTOKOPA KWENYE MABENKI

Serikali imekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye Mitandao ya Kijamii kuwa Watumishi wa Umma wamepigwa marufuku kukopa Benki, SACCOS, VICOBA...
Read More

AJALI YAUA WANNE WAKIWEMO POLISI WAWILI

Ajali hiyo ilitoa Desemba 19, mwaka huu, saa 11:30 jioni katika kijiji hicho baada ya gari walilokuwa wakisafiria T517 CDL Toyota Alphat kat...
Read More

MAXENCE MELO AWAHAKIKISHIA USALAMA WA TAARIFA KWA WATUMIAJI WOTE WA MTANDAO WA JAMII FORUM

Baada ya kuchiwa leo kwa dhamana Mwanzilishi mwenza wa JamiiForums, Maxence Melo amesema mtandao wa JamiiForums haujatetereka na bado uko ng...
Read More

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania,kuanzisha utaratibu wa kuwapima madereza wa magari kwenye baa

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed Mpinga amejipanga kuanzisha utaratibu wa kuwapima madereza wa magari kwenye...
Read More

BENKI AFDB YAIPATIA TANZANIA MKOPO WA BILIONI 360

Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB) imeipatia Tanzania mkopo wa Shilingi Bilioni 360 kwa ajili ya Bajeti ya Serikali ya mwaka wa Fedha 2016/1...
Read More

Tume yaundwa kusaka kaburi la Faru John

Mh. Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda Tume kuchunguza taarifa inayoelezea utaratibu uliotumika kumhamisha Faru John kutoka Hifadhi ya...
Read More

Mke wa Rais Baada ya kuuugua ahudhuria Misa akiwa na Mke wa Majaliwa

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli jana Jumapili aliungana na Wakristo wenzake wa Kanisa Katoliki Parokia y...
Read More

Mrembo huyu Toka Kenya atasindikiza Show ya Diamond

Habari za #KunyapiaNyapia zinaeleza kwamba Mtoto @huddahthebosschick kutoka Kenya atakuja siku hiyo kumsindikiza #ChibudiChibudee na vijana ...
Read More

Mwanafunzi ajinyonga kuondokana na kuchekwa

MWANAFUNZI wa mwaka wa kwanza aliyekuwa anachukua shahada ya ualimu Chuo cha Ajuco (zamani Chuo cha Mtakatifu Agustino, tawi la Songea) mkoa...
Read More

Sababu za Joshua Nassari Kuipa Tano Serikali ya JPM

MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema) ameipongeza na kuisifu Serikali ya Awamu ya Tano kwa jitihada kubwa inazofanya katika ...
Read More

Afande sele Amemtaja Anayefaa Kuwa Mfalme wa Rhymes

Kumekuwa na Ubishani ni nani mrithi wa mfalme wa Rhymes baada ya Afande Sele baada ya Shindano hilo kutofanyika kwa muda mrefu. Afanse Sele ...
Read More

MKANGANYIKO KESI YA 'MPEMBA' WA MENO YA TEMBO NA WENZAKE 6

Kesi ya kujihusisha na biashara ya meno ya Tembo inayowakabili watu sita akiwemo mfanyabiashara Yusuf Yusuf (34) maarufu ‘Mpemba’, imeen...
Read More

DAVID KAFULILA AIKACHA NCCR-MAGEUZI NA KUTIMKIA CHADEMA

Leo Decemba16,2016 nimemwandikia barua Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI, kiustarabu kumjulisha mambo manne; 1.Nakishukuru chama na viong...
Read More

MEXENCE ASHTAKIWA KWA MAKOSA MATATU IKIWEMO KUTO SAJILI MTANDAO WAKE WA JAMII FORUMS

Mwanzilishi Mwenza wa JamiiForums, Maxence Melo ameshtakiwa kwa Makosa 3 likiwemo la kuendesha na kumiliki tovuti ambayo haijasajiliwa hapa ...
Read More

Alikiba kwenye Kolabo na YvonneChakachaka Mkongwe wa Nchini Afrika Kusini

Kaandika kuhusuu Wimbo ambao tayari unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa Muziki Afrika ulirekodiwa jijini Johannesburg.   #Aliki...
Read More

SABABU YA TUNDA MAN KUTOELEWANA NA BABU TALE

Akiongea na EATV, muimbaji huyo wa ‘Mama Kijacho’ amesema, “Najutia kuwa na misunderstanding na bosi wangu. Kiukweli mimi na bosi wangu Babu...
Read More

POLEPOLE: BADO NAAMINI MUUNDO WA SERIKALI TATU

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amesema hawezi kupindisha maneno kuhusu msimamo wake wa muundo ...
Read More

NYIMBO MPYA YA NEY WA MITEGO "Sijiwezi"

Kuitizima Nyimbo Mpya ya Ney wa Mitego Ney wa Mitego Bonyeza hapa  https://youtu.be/3LZo7Awn3no
Read More

Mwanachuo Udom aachiwa huru

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma imetengua uamuzi wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) ya kumfukuza mwanachuo Phillip Mwakibinga na kuamuru...
Read More

Stanbic Bank named Tanzania Bank of the Year

The Banker Magazine, the world’s longest running international banking publication, named Stanbic Bank Tanzania as Tanzania’s “Bank of the Y...
Read More

VIRUSI VYA ZIKA VYAGUNDULIWA TANZANIA

Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu, NIMR imethibitisha kugunduliwa kwa virusi vya Zika nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Mkurugenz...
Read More

FACEBOOK KUKABILIANA NA AKAUNTI FEKI

Mtandao wa Facebook umesema umeanzisha upelelezi kukabiliana na akaunti feki za watumiaji. Tiyari umeshaanza kutumia wafanyakazi kutoka...
Read More

KLABU YA SIMBA: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

SIMBA SPORTS CLUB D'SALAAM, TANZANIA 14/12/2016 *TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*. Klabu ya Simba inapenda kutangaza marekebisho mado...
Read More